Fremu inapangishwa kariakoo

Fremu inapangishwa kariakoo

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Call me on 0714 064767 kama unahitaji kwa mwezi 500,000/= fremu ipo mtaa wa udowe/lumumba karibu na durban hotel
 
Ok poa poa natafuta fremu ila bei hipo juu,kutokana na biashara nayo taka kuweka sitoweza..
 
Kariakoo and posta ndio sehem expensive ku rent a fremu kuliko kote nchini...

Bei ya fremu kariakoo haigusiki na bado ndio sehem kuna biashara kuliko sehemu zote nchini
 
Nenda kariakoo cafe za chakula zilizofunguliwa kariakoo kinacho mata unapata wateja au la hasha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom