Frem ya duka inatafutwa

Frem ya duka inatafutwa

Wakuu habari,naombeni mnisaidie natafuta frem ya duka,maeneo ya Rombo mpaka kona jijini Dar,iwe ndani ndani kidogo,bajeti yangu kwa mwezi ni sh.30000 mpaka 40000;nawategemea wakuu
naona chumba umeshapata sasa unatafuta frem umejipanga kwelikweli kuhahamia Dar.karibu Dar ..huko ni tofautii na ngara
 
Mi ninayo kimara stop over 80,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mi ninayo kimara stop over 80,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Please ,naomba unijulishe umbali toka Barabara kuu, na ukubwa wa chumba chenyewe ,ikiwezekana weka no ya simu
 
Umbali dk 10 toka barabarani karibu na unenamwa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ukubwa wa kawaida tu mkuu standard kama zilivyo frem nyingne

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom