Frem ya biashara singida manispaa- sokoni

Frem ya biashara singida manispaa- sokoni

Joined
Jan 21, 2011
Posts
26
Reaction score
16
Wadau frem inahitajika maeneo ya sokoni manispaa ya singida. Eneo lililochangamka.Biashara inayotaka kuwekwa hapo ni biashara ya nguo. Mwenye taarifa zozote atusaidie hapa. Karibuni:smile-big:
 
Back
Top Bottom