kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran
** iko prime area
** main road ( barabara kuu)
** mjini kati
biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5
ina biashara tayari
kodi imebaki miezi 6 kasoro
BEI YA KUCHUKUA HII FREM NA BIASHARA YAKE NI 17.5M
hiyo bei ni moja kwa moja na kodi yake...ila mkatana ukiisha baada aa hiyo miezi sita kasoro utaendelea kulipa kodi kama kawaida kwa mwenye nyumba
kwa mwenye uhitaji wa haraka nitafute whatsapp 0744597493
nitafute whatsapp nikutumie videos za hiyo frem
au kama unaweza kufika nitafute nikupe videos then nikuelekeze ukague mwenyewe