tujitahidi kuongeza ubunifu kidogo kwenye matangazo yetu,eleza ukubwa wa fremu yenyewe na pia aina ya biashara inayofaa kulingana na ukubwa wa frem na eneo husika.Kodi inahitajika ya muda gani sio lazima upigiwe simu kuulizwa mambo haya unatakiwa upigiwe simu tayari kwa kulipiwa fremu.
frem in ukubwa wa kutosha na panafaa kwa biashara yoyote maana ni barabarani,salon,duka la hardware na vifaa vya umeme,makabati ya kawaida au ya kichina nk.kodi inatakiwa kuanzia miezi sita na kuendelea.karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.