jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,020 Nov 15, 2016 #1 Habari wakuu, Natafuta frem ya kukodisha maeneo ya ferry/kivukoni Dar es Salaam, budget yangu ni kuanzia tsh 120,000/= mpaka 180,000/= kwa mwezi, malipo kodi ya miezi 6. Mwenye nayo tuwasiliane kwa 0621003284.
Habari wakuu, Natafuta frem ya kukodisha maeneo ya ferry/kivukoni Dar es Salaam, budget yangu ni kuanzia tsh 120,000/= mpaka 180,000/= kwa mwezi, malipo kodi ya miezi 6. Mwenye nayo tuwasiliane kwa 0621003284.
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,071 Nov 15, 2016 #2 Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi.
Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi.
O Onguluo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 407 Reaction score 118 Nov 15, 2016 #3 Kuna frem lipo kwenye panton, sijui km utaipenda
N nsemwae Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 175 Reaction score 56 Nov 15, 2016 #4 mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Mkuu mbagala fremu ni gharama kubwa sana kuliko unavyofikiri
mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Mkuu mbagala fremu ni gharama kubwa sana kuliko unavyofikiri
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Nov 15, 2016 #5 nsemwae said: Mkuu mbagala fremu ni gharama kubwa sana kuliko unavyofikiri Click to expand... frem mil 6? mtaji sh ngapi sasa.au yard ya magari
nsemwae said: Mkuu mbagala fremu ni gharama kubwa sana kuliko unavyofikiri Click to expand... frem mil 6? mtaji sh ngapi sasa.au yard ya magari
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,020 Nov 15, 2016 Thread starter #6 mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Mkuu hebu nionyeshe hiyo frem ya mil 6/$ 2700 kwa mwezi kuanzia ferry mpaka puna yaleyale?
mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Mkuu hebu nionyeshe hiyo frem ya mil 6/$ 2700 kwa mwezi kuanzia ferry mpaka puna yaleyale?
Nyankuzi JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 465 Reaction score 391 Nov 15, 2016 #7 mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Frame ferry kwa mwz 300,000... 400,000/= Adi 500,000 jichange bro
mmteule said: Kwa bei hiyo sahau kabisa kupata frem, labda uende Kimara, Segerea au Mbagala. Frem za Mjini zinaanzia lak 4 hadi mil 6 na kuendelea kwa mwezi. Click to expand... Frame ferry kwa mwz 300,000... 400,000/= Adi 500,000 jichange bro