Wadau Nauza Friza kubwa kama linavyoonekana kwenye picha hapo chini bado ni Jipya limetumika miezi miwili tu,bei inaanzia laki tano(500,000) ila tunaweza kuelewana. aliye serious ani PM tuongee zaidi.
Friza lipo Da es salaam maeneo ya kitunda na bado ni jipya kazi iliyohitajika kufanya haikuweza kudumu, anayelihitaji anakaribishwa kuongea bei, bei yangu inaanzia laki tano(500,0000)