Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Nov 23, 2018 #1 Freezer hii ni mpya haijatumika tangu inunuliwe inauzwa , Location: Dodoma mjini. Bei :550K (laki tano na nusu) Warrant ni mwaka mmoja Risiti ya manunuzi inapatikana.
Freezer hii ni mpya haijatumika tangu inunuliwe inauzwa , Location: Dodoma mjini. Bei :550K (laki tano na nusu) Warrant ni mwaka mmoja Risiti ya manunuzi inapatikana.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Nov 23, 2018 #2 Iliibiwa dukani hata haijatumika? Au mnauza zawadi za harusi? Ingawa hivyo weka room ya bargain mkuu.
Iliibiwa dukani hata haijatumika? Au mnauza zawadi za harusi? Ingawa hivyo weka room ya bargain mkuu.
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Nov 23, 2018 Thread starter #3 jogi said: Iliibiwa dukani hata haijatumika? Au mnauza zawadi za harusi? Ingawa hivyo weka room ya bargain mkuu. Click to expand... Mkuu kitu kilichoibwa kinaweza kuwa na Risiti pamoja na Warrant kweli? Njoo PM kama unaitaka tuongee
jogi said: Iliibiwa dukani hata haijatumika? Au mnauza zawadi za harusi? Ingawa hivyo weka room ya bargain mkuu. Click to expand... Mkuu kitu kilichoibwa kinaweza kuwa na Risiti pamoja na Warrant kweli? Njoo PM kama unaitaka tuongee
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Nov 23, 2018 #4 Zero IQ said: Mkuu kitu kilichoibwa kinaweza kuwa na Risiti pamoja na Warrant kweli? Njoo PM kama unaitaka tuongee Click to expand... Hahahahahahhha! Pole kwa kuku insult! Sikuwa na nia mbaya bali kuuchangamsha uzi! Tupo pamoja.
Zero IQ said: Mkuu kitu kilichoibwa kinaweza kuwa na Risiti pamoja na Warrant kweli? Njoo PM kama unaitaka tuongee Click to expand... Hahahahahahhha! Pole kwa kuku insult! Sikuwa na nia mbaya bali kuuchangamsha uzi! Tupo pamoja.