Freezer Inauzwa Bei Rahisi!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,820
Reaction score
29,495
Kwa aliye serious

Haina tatizo ni mpya kabisa imetumika miezi miwili tu kugandishia barafu ila kutokana na biashara ya barafu kushindwa kulipa nimeamua kuliuza kwa bei rahisi kabisa ya shilingi laki 5 na nusu.

Njoo ukague kabla ya kununua.

Ina garantii ya miaka 2.

Karibuni sana.

Tuwasiliane PM.
 
Very fair.. Halina tatizo kweli?
 
Naungana na ajmaa hapo juu.
Hembu tupe jina lake,kama ni Hotpoint,Sanyo,Furgason,Morinyo au Moyes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…