Tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati mwingine wowote!Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Alafu ni aibu sana wanachama kusema "hawaoni mtu" maana ni sawa na kusema mwenyekiti hajafanya succession plan ya kutosha.Sioni akitekeleza hilo, naona anajikausha akidhani tumesahau ahadi zake. Upuuzi mtupu.
Jiwe alipotezwa na nani?Uenyekiti ulimpoteza chacha wangwe, zito bado kidogo apotezwe akakimbia
Hata mimi nauna mkono hoja jamaa aendelee kidogo sababu CCM hii ni hatari atuache na katiba mpyaMwl. Nyerere mwaka 1980 alitaka kuiachia nafasi yake ya uongozi lakini mazingira yakamlazimisha kuahirisha uamuzi huo mpaka ilipofika mwaka 1985.
Hali kadhalika Mh. Mbowe mazingira ya kisiasa ya sasa yanamlazimisha kushikilia nafasi hiyo kwa uchache sana hadi ifikapo mwaka 2030 lakini "pepo" lisipotoka na kusalimu amri basi ni lazima ifike mpaka 2035. Kumbuka kuwa huyu ni mtoto wa ubatizo wa Mwl. Nyerere.
Hata akipata tu katiba mpya hapo sawaKwani CCM inatuachaje?
Umri wa kustaafu CCM umefika!!!
Nashauri Mbowe akifanikiwa kujisaidia CDM kushika Dola ndipo ang'atuke!!
Yasijetokea Yale ya Mbatia NCCR.
We ni chizi Mbowe ni tajiri kupita maelezo, angalia mabasi tu ya Machame, hoteli Uingireza, South Africa, Dubei n.kKuwezi serious ,itawezekana vipi Mbowe akabidhi chama wakati yeye ndio ajira yake ya kudumu?
haondoki mtu hapa, kafie huko ccmHatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Jaribio la Zittow kuuchukua uenyekiti lingefanikiwa,haondoki mtu hapa, kafie huko ccm
Lord Atkin outlined the parameters of the duty of care in this field in the following often-quoted terms: “You must take reasonable care to avoid acts or omissions which you can reasonably foresee would be likely to injure your neighbour.2
Unasema ukweli kabisa kabisa. Mbowe haondoki sasa hivi. ngoja tupate katiba mpya na tume huru....Jaribio la Zittow kuuchukua uenyekiti lingefanikiwa,
Leo hii CDM ingekuwa tawi la CCM!!
Kwani wewe ulimkutaje,ulivyomkuta ndivyo utakavyo kuacha😂Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
Hakika majukumu ni mengi sana! 1. KATIBA MPYA 2. DP WORLD 3. TUME HURU YA UCHAGUZIKazi iliyopo mbele yetu ni kubwa mno haijawai kutokea, Mwamba aendelee kutuongoza hadi tumtoe nyoka pangoni(DP ) na kupatikana kwa katiba mpya.
Sipingi usemacho mkuu, lakini nitofautiane kidogo na ww, sidhani hata kama mazingira hayo yasingekuwepo angeachia. Ni mtu ambaye tayari ameshageuza hicho cheo ni sehemu ya maisha yake. Na katika mazingira hayo, hata ukifanyika uchaguzi ni lazima yeye na kundi lake wachezee uchaguzi kwa lengo kwa kumbakisha madarakani.Alafu ni aibu sana wanachama kusema "hawaoni mtu" maana ni sawa na kusema mwenyekiti hajafanya succession plan ya kutosha.
Kung'atuka naona itakua ngumu especially sasa ambapo kwa udhaifu wa Samia, ujio wa tume huru, na maridhiano Kuna "uhakika" wa kushinda madaraka, serikali mseto au wabunge wa "kumwaga" so sidhani atakubali awe mbali ilihali wakati wa mafanikio umewadia.
Katiba ya chama chenu mnaisigina halafu mnawaza katiba mpya hivi nyie ba-vichaaa mmechanganyikiwa?Mbowe hataondoka ni mpaka tupate katiba mpya.
Ni maoni yangu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwani Lissu ndiyo atakuwa Mwenyekiti ?kiuhalisia mbowe akiondoka chama kina kufa mbowe ni mstaaf=rabu anajuwa siasa lisu ana jazba ambayo haitakiwi katika siasa heche ni mbumbumbu wa siasa na anatamaa na madaraka tu akiwa hajy=ui ataenda kufanya nini