If it so, the medicine of faya is faya. yaani JPM tutampa kama raisi wa china vile hadi mwaka 2035 tuone jinsi Mboe wako atakavyo zoelea mitaa ya Segerea.
Maana kakaa siku saba tu Segerea kutoka ndiyo anagudua kuwa Raisi ni dikteta, inamaana watu wote waliowekwa ndani kwa makosa wangesema rais ni dikteta.
Mi jaamaa kamsifia sana Mboe kuwa bila yeye chadema ingekufa ngoja tusubiri mahakama si kesho tu itatenda haki na jamaa kuamia rasmi Segerea tuone.
Na huu ndiyo mwendo wa awamu ya 5 yani mpelampela bado miaka 7 tu imebaki.