Freeman Mbowe nae ni jipu lililoiva

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,878
15,458
Huyu jamaa tenda zote za halmashauri ya wilaya ya Hai kazichukua yeye tena kwa njia za kibabe.Tunaomba nae atumbuliwe haraka sana.
 
M
#MboweMustGo!
Mbowe ni mbunge wangu tena wa miaka miiiinGI tu, bora uache figisu zako maana utatangulia wewe ku-Go na mheshimiwa utamwona akidunda tu kwa raha zake. kama ninyi wahafidhina mlikua mkipeana keki kwa majina basi si huku Hai. tulieni kwa maana kila goti linapigwa huku.
 
Huyu jamaa tenda zote za halmashauri ya wilaya ya Hai kazichukua yeye tena kwa njia za kibabe.Tunaomba nae atumbuliwe haraka sana.
Huyo Mbowe alitakiwa aachie madaraka mwaka 2014, lakini kinyemela kawashawishi wanachadema mpaka wameibadili katiba ili aendelee kuwa kiongozi mkuu wa chama. Ni mpenda madaraka na dikteta kama walivyo madikteta wengi wa Afrika.
 
Mleta mada, usisikie, ukaandika bila ya kutafakari. Tenda sio karatasi kwamba utamkuta mtu kalishika ukamkwapua. Tulia, pata maelezo ya kueleweka na yenye mantiki leta tujadili.
 
Walimpa Umungu mtu
nitatizo
 
Mleta mada, usisikie, ukaandika bila ya kutafakari. Tenda sio karatasi kwamba utamkuta mtu kalishika ukamkwapua. Tulia, pata maelezo ya kueleweka na yenye mantiki leta tujadili.
Unatetea uozo
Mbowe anaitumia Nafasi yake ya UMUNGU MTU
kujifanyia biashara ya siasa vyema
huwa hapendi kukosolewa na ninyi vivuli vyake ndio shiida
 
Kweli wewe mgeni nchi hii ata Magufuli unaetaka aende Hai kumtumbua Mbowe anakushangaa mwenzio Maguli ameshasema mbele ya wananchi wa Hai 'MBOWE HOYEEEE MBOWE SAFIIII' kwa utendaji wake ulio tukuka labada kuna tenda amekuzidi vigezo akaichuka, wewe badala urekebishe ulipo kosea unakuja kulia huku JF, huko hawatoi tenda..
 
Bridger Paw Reserved Active tukisema kila mtu alete nyuzi za kichochezi na zisizo na ushahidi kama hizi nadhani humu ndani hamtakalika na JF itashuka hadhi yake...

Tunaomba either huu uzi uondolewe au mleta uzi aseme wazi ni tender gani hizo Mbowe alizilazimisha na ni Kampuni yake gani ilifaidika na hizo Tender...
 
Unatetea uozo
Mbowe anaitumia Nafasi yake ya UMUNGU MTU
kujifanyia biashara ya siasa vyema
huwa hapendi kukosolewa na ninyi vivuli vyake ndio shiida

Kama wewe unavyojiona MUNGU MTU, kwa kudharau wenzako na kutoa maneno ya kejeli eti Nyumbu, kwa kuwa tu wao wanaipenda chadema.
 
M

Mbowe ni mbunge wangu tenmiaka miiiinGI tu, bora uache figisu zako maana utatangulia wewe ku-Go na mheshimiwa utamwona akidunda tu kwa raha zake. kama ninyi wahafidhina mlikua mkipeana keki
kwa majina basi si huku Hai. tulieni kwa
maana kila goti linapigwa huku.
kila goti linapigwa kwa mbowe? nyie nyumbu ndio mnatuletea itikadi gani hii ya lowassism. kule monduli wamesema tenda zote ni kwa boma ya lowassa. hai tenda zote kwa mbowe. hakika mungu ni mkuu katunusuru na mtego wa ukawa kwa kutupa magufuli. majipu yote yatatumbuliwa tu ni suala la muda serikali kuu ni tingatinga magufuli.
 
Back
Top Bottom