Unaweza ukahisi utani ila hii kitu nishafanya sana. Nikatega alarm kama dakika tano mbele nilijua ndani ya muda huo lazima nitakuwa nimefika usawa wa yule binti, naam nilipofika tu hata sekunde thelathin hazikupita kudadeki kitu griiiiii.... griiiii... hapo kilikuwa kinaning'inia shingoni, nikakivua nikakata alarm halafu nikapeleka sikioni...Enzi za vimobitel. Unategesha alarm ukiwa kwenye kadamnasi ya watu halafu unapokea haloo kwa sauti kubwa.
Hahahah mkuu umenichekesha sanaUnaweza ukahisi utani ila hii kitu nishafanya sana. Nikatega alarm kama dakika tano mbele nilijua ndani ya muda huo lazima nitakuwa nimefika usawa wa yule binti, naam nilipofika tu hata sekunde thelathin hazikupita kudadeki kitu griiiiii.... griiiii... hapo kilikuwa kinaning'inia shingoni, nikakivua nikakata alarm halafu nikapeleka sikioni...
"Hallow... eeh nimetoka kidogo... narudi sasa hivi... haya nakuja" halafu nikafanya kama nakata kisha nikairudisha Simens mayai shingoni. Nikamcheki binti nikiwa serious sana..
"Mambo..."
"Poaaaa" huku anatabasamu... hahahaha alikuwa anaitwa Prisca Mbilinyi
Ni sigara hiyo ASPEN KING SIZE, COZ YOU DESERVE THE BESTMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Ulitaka chadema ishinde mara ngapi?Huyu mhuni eti ndio angekuwa Waziri mkuu iwapo chadema wangepewa nchi.. Asante Mwenyezi Mungu kwa kutuepusha na ili janga.
Acha fix,Aspen ilikuwa sigara.watakuita handsome kwasababu unavuta Aspen by SuguMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Yuko Mbozi anashinda ndani maana ndio kipindi wachuna ngozi wamechachamaa kijijini kwao.Kipindi hicho Juliana shonza ndiyo kazaliwa ana miezi 10 makamasi hadi kwenye Kidevu.
Utabaki hivyo hivyo na roho ya korosho.Pole sana.
Mtukufu alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi.Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Ha ha ha.Mbona unaumia kwa kitu kisichokuhusu?
sigara mkuuMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Ha ha haaaaaWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Ila ndio hivyo mtoto wa Shamba kachukua nchi na kuharibu kabisa mikakati ya mtoto wa mjini sasa hv anahaha hajui ashike wapi...tih tih [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] Ila simshangai watoto wa mjini wengi wanapenda shortcuts akamchukua EL ili abet Bahati mbaya akaliwaWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Was sigara banaMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Hahah!!Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.