Freeman Mbowe enzi hizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe enzi hizo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chenge, Oct 23, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Bwana Freeman Aikaeli Mbowe (wa Pili kutoka Kushoto) akiwa Pamoja na Mwanamuziki Nguli kutoka Zaire (Sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) Bwana Koffi Antoine Olomide (wa Tatu kutoka Kushoto waliokaa).

  Bwana Freeman Aikaeli Mbowe na wenzie waliopo kwenye Picha ndio waliofanikisha Ziara ya Kwanza ya Mwanamuziki huyo Mashuhuri wa Afrika Nchini katika Miaka ya 90 Mwanzoni, Wa Kwanza kulia waliokaa ni Bwana Ronie Mtawali ambaye alikuwa Meneja wa Kwanza wa Club Billicanas.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  mm namjua akiwa mdogo zaid ya haapo yaani wakati mama yake ( Aishi ) akiwa hai
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  JF bwana kuna mambo!! Kumbe ndiko alikotoka Mwenyekiti na KUB?
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Safi sana haya ndiyo maisha. Huwa nawaachukia sana wanasiasa "watakatifu" ambao wao historia zao zinaonyesha usafi tu. Mbowe kwa kuwa na Club Katikati ya mji kunamfanya kuwa mwana darisalama kuliko wengi wanavyomnadi kama ni "mchagga" wakati jamaa migombani anakujua kwa kwenda tu!!
   
 5. sinapindu

  sinapindu Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii Picha ilibandikwa leo katika Page ya "Watanzania Mashuhuri" kule Facebook
   
 6. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maafisa usalama wa Taifa walipokwenda kwa Mzee Aikaeli kumwambia kwamba Mwalimu Nyerere amekubali ananunue Jeneza la kumzikia Aishi toka London, mzee Aikaeli alifurahi sana na kuwashangaza wale Maafisa Usalama wa Taifa. Kwa Mzee Aikaeli vinywaji vilikuwa havitolewi na Glasi. Kama unataka Martins basi jua utapewa chupa yako mpya kabisa umalize au ubakize kazi kwako. Na ikibakia unabeba kwani vinywaji vyote vilikuwa vinanywewa kwenye chupa!!

  Unajua Mzee Aikaeli alimsaidia sana Mwalimu dhidi ya Chifu Mareale?
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anafuga afro?
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Haya, sasa tufanyeje, anaonkana amtulia sana.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Safi sana---#TBT
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  Sfi sana sio wale wenzangu na mimi baba mwenyekiti wa chama mama sijui naniliu halafu na yeye huko huko....
  watu wa hivi ndio wanaojua machungu ya maisha ya kitanzania.......BIG UP sana kamanda MBOWE..........
   
 11. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  papa wemba mbona simuoni?
   
 12. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pedeshee Mbowe nimekukubali aiseee!
   
 13. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mh.Mbowe katoka mbali,na kwa kweli jana yake imemjenga sana na kumfanya kuwa mwanasiasa mzuri wa kisasa.
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Keep it up Kamanda Mbowe. Ukomavu uliuanza zamani si leo, na hela hukuijua leo kwani hata baba yako alikuwa na hela!!!! Ni kati ya watanzania wachapakazi maana hadi uwe tajiri kipindi cha marehemu baba wa Taifa si mchezo!!! Go go Mboweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
   
 15. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aiseeeee babaangu safi sana kamanda
   
 16. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Kwenye Red- LAVISH LIFE: Maisha ya watu wasiomjua/abudu MUNGU. ingependeza ukaeleza wanachangia sana Kanisani au kutoa/kusaidia wenye shida au jamii lakini sio huu ulafi na utapakanishaji.
   
 17. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  That will be promo.., and it ain't a story worth telling (most people donate) but dishing out JD's, Johhnie Mtembezi's and Martins in bottles like dishing out some soft drinks or Maji ya Uhai !!! ..., that's a story worth telling we can say that is kula Bata the expensive way...
   
Loading...