Freeman Mbowe: David Silinde ni Yuda Iskariote. Aliendesha siasa za utekaji Tunduma

Ili uchunguzi ukamilike huyo aliyetowa taarifa ni lazima ahojiwe kwa kina!
 
Mbowe aache kufanya mahubiri. Yeye ni mwanasiasa na sio muinjilisti, mtume, padri, mchungaji au askofu.
With all the due respect to you Brother Yoda..

Silinde kama anaisahau CDM kwenye masha yake ya siasa he dont deserve sht.. nikwambie.. i was his class mate abd a friend najua how he became MP at just 26... usimtetee kwa madhaif pengine ya Mbowe
 
With all the due respect to you Brother Yoda..

Silinde kama anaisahau CDM kwenye masha yake ya siasa he dont deserve sht.. nikwambie.. i was his class mate abd a friend najua how he became MP at just 26... usimtetee kwa madhaif pengine ya Mbowe
Mbowe ni nani mpaka aseme uongo akisharmtakiwa anaweza kuthibitisha hizo tuhuma?

USSR
 
Huyo mtoa taarifa ndiye anapaswa kutoka na kuisaidia Polisi.
Aeleze kwa kina alishiriki kwa kiwango gani?
Na alishirikiana na kina nani?
Pia aeleze ni kwa nini kama alijua hivyo,amekaa kimya mpaka kusubiri mkutano wa hadhara!

Vinginevyo Silinde nae afunguwe kesi ya Madai jinai ya kuchafuliwa jina lake!

Kila walipo wezi na wafanya magendo wengi,ndipo mahali Chadema inakubalika zaidi.
 
..Sasa ni afadhali viongozi hao wa Dini wakatoka hadharani na kumuombea msamaha Magufuli kulingana na kile alichotubu.

Ndugu JokaKuu maandiko (biblia) iko very crystal clear kuwa BAADA YA KIFO, NI HUKUMU YA MILELE..

Hakuna Askofu wala mchungaji wala shekhe awezaye kutubu kwa niaba ya mfu awaye yeyote..!

David Silinde (kama kweli alifanya hayo tuliyosikia leo) na kwa kuwa yuko hai (hajafa bado kama ilivyo kwa aliyemtuma kufanya uovu ule, yaani John P. Magufuli), basi yeye bado ana nafasi ya kutengeneza (kutubu makosa yake) na Mungu akamasamehe kabisa dhambi zake..

Lakini John P. Magufuli, Kwa sasa it's too late unless awe alitubu makosa yake mwenyewe kabla hajafa..!
 
Mbowe aache kufanya mahubiri. Yeye ni mwanasiasa na sio muinjilisti, mtume, padri, mchungaji au askofu.
Siasa za masimango mzee mwenzangu..anatumia hisia kuuteka umma badala ya sera, CCM waendelee TU kuiba kura,watz bado hawajawa tayari kujua nani anafaa kushika hatamu za nchi
 
Siasa za masimango mzee mwenzangu..anatumia hisia kuuteka umma badala ya sera, CCM waendelee TU kuiba kura,watz bado hawajawa tayari kujua nani anafaa kushika hatamu za nchi
Kweli hawana sera bali kelele za Magufuli

USSR
 
Sumaye alipotaka kiti aliambiwa sumu haionjwi,hii inaleta fikra Fulani juu ya kifo Cha wangwe,lakini huo usaliti wa yuda kwa vipande vya fedha aliousema mbowe unamgusa nae,atubu,maana aliuza kiti Cha chama kugombea urais kwa vipande vya fedha anavyojua yeye idadi yake,akasaliti kusanyiko la mwembe yanga lililolaani orodha ya aibu(list of shame) ambayo 'fisadi' lowasa alikuwemo
 
Chadema wanasheria waende mahakamani badala ya kulialia kwenye majukwaa kutaka huruma


USSR
 
It is speculation from bogus politician, he can't even try to step up in court room

USSR
It's you who can't even dare to take him to the court of law bacause the evidence is crystal clear just before your faces................those hundreds of victims of his actions..!!

Don't you remember that the court of law couldn't convict them bacause of lack of evidence??

That is a justification that, there was no offences committed whatsoever rather the court was satisfied that their offences were merely "political motivated"..

The ruling is: SET ALL OF THEM FREE!!!

So, Freeman Mbowe is not stupid and ignorance as you are. P.

He is absolutely sure with what he says about your fellow big Chawa - David Silinde and his accomplices...!!
 
Hujui lolote
 
😅😅Mbowe anaongea kama Mtumishi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…