Ni mambo ya teknology tu mkuu kuna siku nili log in nikaenda viwanja nikasahau komputa kuizima bila ku log off kwa hiyo wote waliokuwa wanafungua kwenye ile thread walifikiri nipo.Namuona Zitto hapa jamvini muda huu, hebu mlio kwenye runinga tusaidieni yumo ndani bungeni ama hayupo? Ina maana anaangalia mtandao ndani ya bunge ama amekacha hotuba ya bosi wake??
There are currently 97 users browsing this thread. (41 members and 56 guests)
- bibikuku
- kitungi
- Muangila
- mwana wa mtu
- magessa78
- Donyongijape
- Stany
- Dr wa ukweli
- Frank lwakatare
- 123
- Lawkeys
- kishoreda
- Vakwavwe
- VIKWAZO
- Mnwele
- Namtambo
- Kwayu
- never
- MZALENDOMKUU
- CPA
- meddie
- muhimili
- Mburahati
- Mzee Dogo
- REBEL
- Edson Z. M
- The Priest
- Ndibalema
- lyimo
- mkonowapaka
- Pierre King
- tzjamani
- Rejao
- Ibra Mo
- tatizomuda
- Zitto
- mlaizer
- MARQ
- TumainiEl
- mwakabana
- bulunga
Kwani umeshasoma nyuzi zote humu, na kwa nini unadhani alichosema hakitasemwa humu, na una maana gani unaposema utumwa, zipo namna nyingi za ku-deliver message, so endelea kusoma, bila shaka kiu yako ya kujua alichosema itakuwa quenched. Usiwe mtumwa wa uvivu wa kusoma Mr Speakernashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwawa ajabu sana
Thubutuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!ebana nimekubali hyo technology, hivi mtoto wa mkulima anaweza kutuimia kweli?
bangi na gongo....ingia mtaani ushuhudie.bi sku hizi ni anasaAnalalamika juu ya kupandishwa kwa kodi ya vileo na sigara, anauliza watanzania wafanye starehe gani?
Usiwe mbishi wewe kwanza unazungumzia ipod wakati issue hapa ni ipad, una maana ukiwa na 150000x2 unapata ipad??????????Vyote sawa huwezi nunua kama huwezi tumia
gamba moj jana T LISSU alilinyuka swali likashwindwa liajifany eti swali ni jipyadunia ya sasa ni utandawazi, hata mawaziri walitakiwa wawe na back up ya watumishi pale wanapojibu maswali ili kuepuka kudanganya ummaakuna haja ya kukimbia swali na hali ya mawasiliano hiko juu sana kwa sasa
gamba moj jana T LISSU alilinyuka swali likashwindwa liajifany eti swali ni jipya
Siwezi lumbana na mtu ambaye upeo wake wakufikiri ni mdogo kuliko akili za kuku....Usiwe mbishi wewe kwanza unazungumzia ipod wakati issue hapa ni ipad, una maana ukiwa na 150000x2 unapata ipad??????????
Anachojua kukitumia yeye ni taipuleta, si unajua tena ameiba jina la mtoto wa mkulia ilhali yeye ndo KABAILA lenyeweHuyo mtoto wa mkulima hata email hana...........sasa atawezaje kutumia ipad?
Kazi na dawa .Dawa ni kuwapulizia upupu wa bunge wa CCM walale bungenicdm na mwendo wa ipad..
Mlio karibu na radio na Tv tujuzeni tafadhari
Itabidi Chadema wamwazime Pinda wataalam inaonekana Chadema inawataalam kuliko Ofisi ya Pinda?!
Umeme, usa river ni kibatari sa hivi kwani hatuwezi hata kununua mshumaa, Tujuzeni nini kimejili huko mjengoni. Yan nasema hivi hatuna umeme huku uswahilini kwetu!Mlio karibu na radio na Tv tujuzeni tafadhari