Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,344
Kusimamia Demokrasia na haki za binadamu kanda ya AfricaNdio majukumu yapi hayo.?
Kila la kheri Mr. Aikael Mbowe.
Karibu sanaNi jambo jema
Kuna uzi wake.umeandika kama vile kila mtu anamjua huyo jamaa
Tueleze ndio nani na DUA ni nini tafadhali
Tutarudi kwako mkuu ondoa shakaumeandika kama vile kila mtu anamjua huyo jamaa
Tueleze ndio nani na DUA ni nini tafadhali
Hofu yako iko kwenye nini , hutaki katiba mpya ?Naona kwa sasa raia tumebaki alone, watetezi wote wanakula keki ya taifa wapo kimyaaaaaaa.
Na hiyo ilikuja baada ya mama kukutana nao.
Lisu alikutana naye huko Ubelgiji.
Mbowe hapa Dar Ikulu alipotoka mahabusu tuu break ya kwanza ilikuwa kuonana naye.
Yeye yuko kwenye kikosi kazi akishirikiana na akina Mukandala na Mizengo Pinda kuhujumu Rasimu ya WariobaNi jambo jema
Zitto Kabwe hajakuwepo?
Zito yupo kigoma kuwapokea makalai ya nccr mageuzi na kuyabadilisha kua yametoka ChademaNi jambo jema
Zitto Kabwe hajakuwepo?
Unachangia uzi huu au umepotea thread ?Huyu jamaa na mseveni tofauti yao ni majina tu
Kwamba wale wasiocheza ndio wana akili? Ukiona mtu hakucheza disco au Rhumba , ama hata kuimba hajui basi huyo ni Mshamba na hakuwa na access na hizo mambo , yaani huyo ni zaidi ya porini alikoishi , maana hata huko vijijini kuna kucheza kwayaMbona aliitwa "mchezo disco?" Unavyofikiria ni mtu wa kuongoza taifa kweli?