website ipo tayari hewani,anatakiwa mtu wa kuimaintain katika upande wa graphics,mfano kuandaa banners,images zitakazo tumika kwenye hiyo website!! ts more in partinership,hatuna salary!!ila kwakuwa utakua partiner basi tunagawana kilicho patikana mezani!!