Freedom is coming tomorrow! Kaa tayari!

Freedom is coming tomorrow! Kaa tayari!

Abel Ndundulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
847
Reaction score
389
Naomba kuwafahamisha yafuatayo wana “mabadiliko” wenzangu wa vyama vya UKAWA!!!! na Wafuasi wa Comrade LOWASSA!!!

Yumkini katika siku zilizobaki tukaendelea kupata misukosuko mingi ndani ya umoja wa vyama vyetu “UKAWA” na ndani ya vyama vyetu vya NCCR,CHADEMA,NLD na CUF na katika majimbo yetu na sisi wafuasi mmoja mmoja. Ninashauri yafuatayo:

1. Kutokukatishwa tamaa na kauli,matamko,matangazo,vipande vya hotuba za Nyerere ama maneno yeyote ya kutuvunja nguvu sisi wana "mabadiliko" yaliyoratibiwa vyema na yatakayotolewa na watu wa kada mbalimbali ndani ya Chama na Serikali kama Mwinyi,Mkapa,Mama Maria Nyerere,n.k,

2. Katika kipindi hiki Matamko,Matamasha,Maandamano feki na message nyingi za kizushi katika simu zetu zitaibuka kukipa kiki Chama Cha Magufuli,naomba tuendeleze msimamo wetu,wala tusiyumbe.Lowassa Chaguo letu.

3. Vitatolewa vitisho mbalimbali kwa watu binafsi,familia,makundi na Taasisi zinazounga mkono UKAWA na MABADILIKO kwa ujumla,TUSIOGOPE,USHINDI UNAKUJA!

4. Wapo baadhi ya Viongozi wa vyama vyetu watakaonunuliwa ili kudhoofisha upinzani na “Mabadiliko”..USIRUDI NYUMA.USHINDI NI LAZIMA!!

5. Vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti,luninga na blogs zitaelekeza nguvu kwa Chama Cha Magufuli kwa sababu ya nguvu ya fedha zinazotokana na uuzwaji wa hisa za TBL,NMB na fedha zingine zetu wavuja jasho..MSIKONDE SISI TUNA NGUVU YA UMMA.

6. Mipango mbalimbali endelevu ya kuvunja nguvu ya”Mabadiliko” itawekwa kwetu kwa kuwa wao wana fedha za kodi zetu sisi “Wapumbavu,malofa,mbumbumbu na Kunguni ambao tuna nguvu ya Umma” …TUSIJALI!!
7. Usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura pamoja na siku yenyewe ya kupiga kura kutakuwa na hujuma za nishati,mitandao ya simu na internet,vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mambo lukuki,USIJALI NA WALA USIRUDI NYUMA!!

MUHIMU: Mshike mwenzako Mkono, usimwache atutoke,vumilia yote hayo kwa kuwa;
• ”Giza likizidi ujue nuru imekaribia”
• “Huwezi kula mua bila kukuta fundo”
• “Ugumu ukizidi,unafuu umekaribia”
• "Hata dhahabu ili iitwe dhahabu ni lazima ipitekatika moto”

CHAGUA RAIS WA CHADEMA (LOWASSA),..CHAGUA VYAMA VYA UKAWA (CHADEMA,CUF,NCCR NA NLD KWA MABADILIKO YA MAISHA YAKO NA WANAO)
 
hapa kazi tuu,magufuli ndo raisi

tulishangaa hata wale watoto wa mitaani wanaolala kwenye milango ya sheikh Amri Abeid stadium ccm waliwapa fulana na kuwaimbisha hapa kazi tu,lakini wamewaacha vilevile bila kazi, kweli ccm ni walahai
 
Lowassa anaulizwa atadiri vipi na ufisadi yeye anaishia kusema ni ngumu alafu unataka tumchague huyo ili akaseme rushwa ilikuwa ngumu kudiri nayo ...hatutaki watu wasioweza kudiri na rushwa
 
Ukawa acheni utapeli mipango yenu mungu atawalaani. Mnataka kuiba rasilimali za taifa letu kwa manufaa binafsi kisa siasa za vyama vingi na kujifanya mnataka kuwaondolea watu umasikini.
 
Naona vijana wa IT Masaki na wale wa Lumumba buku 7 mpo kazini kwa wingi.Nafahamu malipo yenu kwa wiki hii ni idadi ya posts unazoanzisha na michango yako ya kupinga mabadiliko katika post zingine.Unaishi Maji chumvi,nauli buku 2,shule hakuna,ajira ndiyo hiyo ya msimu ya buku 7.Daah CCM ni kama EBOLA.
 
QUOTE NI KWELI MAKAMANDA PEEEEEEEEEEEEEEPOES. MUDA UMEKARIBIA TUFUNGE MIKANDA SAA YA UKOMBOZI NI SASA TUSINGOJE KESHO.

NADHANI SASA WAMEISHIWA MBINU WANATEGEMEA SASA KUWAHONGA MAWAKALA , HIVYO NATOA TAADHARI GOLI LA MKONO LIKO HAPO

PROPAGANDA NYINGINE NI KUWATUMIA BAADHI YA WAMASAI WALIOLETWA DAR KUDHOOFISHA USHIDI TOKA RAUSHA NA MANYARA SASA MAKAMANDA TUWE MAKINI ADUI (CCM) AMEGUNDUA MBUNU MPYA YA KUWArubuni watu kwa pesa
 
ukombozi unakaribia.. eeeh!! Mungu tushike mkono tuingie nuruni
 
Lowasa ndo raisi wetu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia mpango wa Mungu.
Jumapili kuna watu watapelekwa sana ICU
 
Lowassa anaulizwa atadiri vipi na ufisadi yeye anaishia kusema ni ngumu alafu unataka tumchague huyo ili akaseme rushwa ilikuwa ngumu kudiri nayo ...hatutaki watu wasioweza kudiri na rushwa
Mafisadi wamejaa chama gani?
chama gani kipo madarakani?
chama kipo madarakani kimewashtaki mafisadi wangapi?
Magufuli mwenyewe ni mtuhumiwa wa ufisadi kwenye ripoti ya CAG mwaka huu bilioni 262 kwenye wizara ya ujenzi hajizukani zilienda wapi ?waziri wa ujenzi Lowasa akiingia madarakani atasema hizo pesa zilienda wapi?
 
Nani ana ule wimbo wa "FREEDOM IS COMING TOMORROW", autundike hapa utuongezee morali!!!
 
Naomba kuwafahamisha yafuatayo wana "mabadiliko" wenzangu wa vyama vya UKAWA!!!! na Wafuasi wa Comrade LOWASSA!!!

Yumkini katika siku zilizobaki tukaendelea kupata misukosuko mingi ndani ya umoja wa vyama vyetu "UKAWA" na ndani ya vyama vyetu vya NCCR,CHADEMA,NLD na CUF na katika majimbo yetu na sisi wafuasi mmoja mmoja. Ninashauri yafuatayo:

1. Kutokukatishwa tamaa na kauli,matamko,matangazo,vipande vya hotuba za Nyerere ama maneno yeyote ya kutuvunja nguvu sisi wana "mabadiliko" yaliyoratibiwa vyema na yatakayotolewa na watu wa kada mbalimbali ndani ya Chama na Serikali kama Mwinyi,Mkapa,Mama Maria Nyerere,n.k,

2. Katika kipindi hiki Matamko,Matamasha,Maandamano feki na message nyingi za kizushi katika simu zetu zitaibuka kukipa kiki Chama Cha Magufuli,naomba tuendeleze msimamo wetu,wala tusiyumbe.Lowassa Chaguo letu.

3. Vitatolewa vitisho mbalimbali kwa watu binafsi,familia,makundi na Taasisi zinazounga mkono UKAWA na MABADILIKO kwa ujumla,TUSIOGOPE,USHINDI UNAKUJA!

4. Wapo baadhi ya Viongozi wa vyama vyetu watakaonunuliwa ili kudhoofisha upinzani na "Mabadiliko"..USIRUDI NYUMA.USHINDI NI LAZIMA!!

5. Vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti,luninga na blogs zitaelekeza nguvu kwa Chama Cha Magufuli kwa sababu ya nguvu ya fedha zinazotokana na uuzwaji wa hisa za TBL,NMB na fedha zingine zetu wavuja jasho..MSIKONDE SISI TUNA NGUVU YA UMMA.

6. Mipango mbalimbali endelevu ya kuvunja nguvu ya"Mabadiliko" itawekwa kwetu kwa kuwa wao wana fedha za kodi zetu sisi "Wapumbavu,malofa,mbumbumbu na Kunguni ambao tuna nguvu ya Umma" …TUSIJALI!!
7. Usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura pamoja na siku yenyewe ya kupiga kura kutakuwa na hujuma za nishati,mitandao ya simu na internet,vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mambo lukuki,USIJALI NA WALA USIRUDI NYUMA!!

MUHIMU: Mshike mwenzako Mkono, usimwache atutoke,vumilia yote hayo kwa kuwa;
• "Giza likizidi ujue nuru imekaribia"
• "Huwezi kula mua bila kukuta fundo"
• "Ugumu ukizidi,unafuu umekaribia"
• "Hata dhahabu ili iitwe dhahabu ni lazima ipitekatika moto"

CHAGUA RAIS WA CHADEMA (LOWASSA),..CHAGUA VYAMA VYA UKAWA (CHADEMA,CUF,NCCR NA NLD KWA MABADILIKO YA MAISHA YAKO NA WANAO)

[h=1]Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura[/h] Written by Abdul Zakinthos // 22/10/2015 // Ujumbe maalum //

Kuna taarifa kuwa,huenda kukawa na karatasi za kupiga kura feki,sasa sijui hili litasaidia vipi Chama tawala,lakini ni muhimu kukumbushana.

Unapoingia kwenye Chumba cha Kura,tafadhali weka kura yako juu kwenye muangaza kuangalia kama kutakua kuna nembo ya Tume ndani,kama haipo ,omba kura nyengine,itakuwa ni feki..
sambaza ujumbe kwa kila mtu
Ahsanteni
 
Watu tushaamua Magufuli ndio mpango mzima

Mkuu usisema tu sema ni-Im sure hata Janet Magufuli anakushangaa maana anamfahamu kuliko wewe huyo unayemshabikia bila sababu na yeye hamkubali kutokana na tabia zake ikiwemo ukatili na ufisadi ukiwemo ufisadi w ndoa.
 
Back
Top Bottom