Free wifi Internet at home 8G+

Huwezi mkuu maana wanao supply internet hapa Tanzania ni ttcl, hii minara ni kama wifi hotspot.

cha kukushauri nunua zuku lipia elf 70 unatukia kadri unavyotaka unlimited
Zuku nje ya mji aifikii aisee
 
Sorry naomba ufafanuzi wako ",nunua zuku lipia 70 utatumia unlimited"
Hii huduma ni maalum kwa Dar, na ni baadhi ya maeneo, unavutiwa waya wa internet hadi kwako pamoja na kifaa cha wifi, utatumia internet bila kikomo
 
We mleta mada mbona huna adabu?
Umekula maharage ya wapi wewe?
Una shida wa kukusaidia ndo umchukulia kama fala flani hivi?
Pole sana heshimu kila mtu unamfaham haumfahamu fanya likupasalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…