Katika msimu huu wa sabasaba ttcl wametoa ofa ya internet ya bure kwa muda wa masaa 5. Unachotakiwa kuwa nacho ni device yenye wi-fi, watakupa password na utaendelea kutumia internet. Huduma hii inatolewa kwenye banda la ttcl ndani ya viwanja vya sabasaba.