Free Wi-Fi installation services for office and home users

Embu fafanua ueleweke.
TZS 115,000/- ni ya wewe kunifungia (installation cost), je kila mwezi nitakua nalipia kiasi gani ?
 
Embu fafanua ueleweke.
TZS 115,000/- ni ya wewe kunifungia (installation cost), je kila mwezi nitakua nalipia kiasi gani ?
Sasahivi Tuko 5G na gharama yake ni hiyo chini hapo, kumbuka installation ni free ila unalipia operation cost za kila mwezi kulingana na chaguo lako la bundle km ilivyooneshwa chini

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Niko Tabata segerea nataka cha 115k
Mkuu wangu karibu Sana ndugu, kwasasa tuko 5G, ile 115k ilikuwa 4G za mwanzo ambapo Sasa tunafanya promotion ya 5G, 120k tunaanzia karibu tukuhudumie au nicheki kwa +255656946198 kwaajiri ya huduma.
Bei na vifurushi vya 5G ni hizi hapa.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Na kunaitajika waya kuingia ndani? Naomba unipiigie pic router na vifaa vyote nione
 
Mimi ninayo router ya 4G je naweza kuupgrade kwenda 5G?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…