Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,569
- Thread starter
-
- #41
5G kwa Sasa hasa IPO dar es salaam mkuu, lkn 4G kote IPO na speed ni kubwa based on order of preference ya mteja.mkuu hii 5G ni mikoa yote na wilaya zake ama ni maeneo ya mjini tu?
115K mb 20 per second kwa Mwezi na 165K mb 30 per second kwa mwezi kama nilivoelezea juu huko mwanzoni. Hii ni 4G tulianza nayo.Lengo langu ni kujua how much rsh per month
mkuu hii ni shared network au dedicated5G IPO karibuni wadau wangu we are on the speed.... View attachment 2370073View attachment 2370074
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni shared Mkuu,mkuu hii ni shared network au dedicated
mkuu uduma yenu huku tabata stend ya bonyokwa bado kufika naomba jibu nadhani nishawai kufanya maongezi ya engineer wenu akasema signal bado azijafika kwa huku kama we unaweza naomba tufanye biashara uhakika mkuu
Utaratibu upo vile vile kaka, Nakutumia form unaijaza kisha maengineer wanaleta mrejesho.mkuu uduma yenu huku tabata stend ya bonyokwa bado kufika naomba jibu nadhani nishawai kufanya maongezi ya engineer wenu akasema signal bado azijafika kwa huku kama we unaweza naomba tufanye biashara uhakika mkuu
Karibuni ndugu zangu,Utaratibu upo vile vile kaka, Nakutumia form unaijaza kisha maengineer wanaleta mrejesho.
Nicheki kwa +255656946198
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwasasa ndugu yangu 5G imecover maeneo ya DAR, kwahiyo ukiwa mkoani hutaipata ila 4G mobile iko available kokote,Balozi limited ikiwa umejiunga 5G mobile ukaenda kikazi Moro ama Dodoma maana yake tutapata service?
4G unaweza kuipata popote karibu sana mkuu lkn 5G kwa mpaka Sasa iko dar tu, maana ukiingia mikoa mingine 5G bado kwa sasa. Lakini 4G IPO popote ilipo it's matter of surveying. Karibu Sana nduguKwa maana hiyo nikiwa Moro nikiwa na hiyo device ya mobile siwezi kupata mtandao hata 4g? Hiyo device ikishasetiwa 5G basi ni hiyo hiyo tu? Balozi limited
Hii huduma inapatikana Zanzibar?4G unaweza kuipata popote karibu sana mkuu lkn 5G kwa mpaka Sasa iko dar tu, maana ukiingia mikoa mingine 5G bado kwa sasa. Lakini 4G IPO popote ilipo it's matter of surveying. Karibu Sana ndugu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Zanzibar tunapatikana mkuu, karibu sanaHii huduma inapatikana Zanzibar?
Area covered by 5GOngezeko LA maeneo covered by 5G. You are warmly welcome again. View attachment 2377441View attachment 2377442
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwani umelazimishwa?Nafikiri Internet iangaliwe upya. ..hio 115k nimshahara wa mtu...maisha yamekua magumu mno