Free Wi-Fi installation services for office and home users

Na mimi natamani kujua hili.
24 Months Contract means ni mkataba unaoingia kati ya Wewe (Mteja) na vodacom (kampuni). Mkataba huo unakuwa wa miaka 2 ambapo wakija kukufungia huduma ya free Wi-Fi installation eg. 5G Mkataba wako utadumu kwa miaka miwili kwasababu hiyo installation unafungiwa free ili kuensure commitment ya mteja, na baada ya miaka miwili unaweza kurenew contract au ukaacha kuitumia generally. Kuhusu malipo ni kama ilivyo kila months utakuwa unalipia na kupata huduma yako baada ya miaka miwili (24 months) utachagua mteja kuendelea au kutoendelea kutokana na mkataba na kampuni as usual. That is means of "24 months".

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
5G are available

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri Internet iangaliwe upya. ..hio 115k nimshahara wa mtu...maisha yamekua magumu mno
Naona ni bei fair kabisa ukizingatia data usage ni unlimited. Kwa maofisini ambapo data inatumika sana hii bei ni ya kawaida kabisa.

Na pia wenye magesti hawajajua tu hii kitu unaweza kuinstall kwenye gesti yako ili kuvutia wateja.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri Internet iangaliwe upya. ..hio 115k nimshahara wa mtu...maisha yamekua magumu mno
Bei hiyo no fair sana, huduma ni bora na kwa wansotumia wanaelewa profit yake ndio maana wanachukua, profit oriented person anaitumia fursa vzr sana na inalipa mno ndugu,

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja na wapo wengi wanaotumia kwa mtindo huu, kwa bahati nzuri umewakumbusha kitu cha msingi sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mwezi kuisha unalipa tena hiyo 115k au inakuaje baada ya huo mwezi wa free kuisha, vifurushi unanunuaje
 
Baada ya mwezi kuisha unalipa tena hiyo 115k au inakuaje baada ya huo mwezi wa free kuisha, vifurushi unanunuaje
Iko hivi tuelewe hapo, installation unafanyiwa free, kwahiyo ukiwa unaanza contract kwa mwanzo utalipia 2 months kwaajiri ya kuensure commitment and security deposit ya mteja, baadae utaanza kulipia kila mwezi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…