FREE VPN

FREE VPN

VPN mkuu hii kitu ndo ile ya kusafu bure sio?
Siyo, inaweza kubadilisha eneo la mtumiaji mfano wewe upo Tanzania inaonyesha uko marekani so incase kuna kitu ambacho kimekua blocked kwenye internet kisionekane/kufanya kazi Tanzania unatumia vpn kudisguise location ili ukitumie ukiwa Tz.
 
Mkuu hebu naombeni mnieleweshe vpn ni nini na matumizi yake ni nini haswa? Na nikitaka kuitumia naitumiaje
 
Kirefu chake ni Virtual Private Network hii ni aina ya network ambayo inafanya encryption ya ya taarifa ambazo unatuma kwenye net: hii inafanyika kwa kutumia tunneling ambapo taarifa zako za internet traffic zote zitafanyika kwenye hii network kwa maana kwamba utapata IP address ya hiyo VPN husika: kama VPN server IPO China basi IP ya device yako itakuwa ya huko China
VPN inasaidia sana kupata access ya web au content ambayo imeblockiwa kwenye nchi yako kwa sababu device yako itakuwa na IP ya nchi nyingine
Pia VPN inasaidia kukukinga na usecured WiFi kwa maana kwenye WiFi za aina hii MTU mwingine anaweza kuona info zako unazotuma
VPN hutumia SSL protocols kufanya ulinzi wa taarifa
Endapo Mtandao ukiwa na open ports utaweza kupata free net ila kwa sasa ni ngumu
 
Tumia openvpn ambayo ni bure kabisa ingia playstore na download opevpn connect halafu nenda web ya vpnbook na udownload openvpn files na huko huko utakuta username na password ya hiyo VPN servers
boss hii inaweza fanya kazi mpk kwenye pc?
 
Kirefu chake ni Virtual Private Network hii ni aina ya network ambayo inafanya encryption ya ya taarifa ambazo unatuma kwenye net: hii inafanyika kwa kutumia tunneling ambapo taarifa zako za internet traffic zote zitafanyika kwenye hii network kwa maana kwamba utapata IP address ya hiyo VPN husika: kama VPN server IPO China basi IP ya device yako itakuwa ya huko China
VPN inasaidia sana kupata access ya web au content ambayo imeblockiwa kwenye nchi yako kwa sababu device yako itakuwa na IP ya nchi nyingine
Pia VPN inasaidia kukukinga na usecured WiFi kwa maana kwenye WiFi za aina hii MTU mwingine anaweza kuona info zako unazotuma
VPN hutumia SSL protocols kufanya ulinzi wa taarifa
Endapo Mtandao ukiwa na open ports utaweza kupata free net ila kwa sasa ni ngumu
nashkuru kwa maelezo yako mkuu, na je naweza kutumia vpn kuweza kupata access ya wifi ambayo iko secured ila sijui password?
 
Haiwezekeni mkuu ni ngumu sana kudukua WiFi labda iwe inatumia encryption ya WPA lakini unaweza kujaribu tools za Kali Linux : Kali Linux unaweza itumia pia kwenye android
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom