Paramagamba
Member
- May 12, 2017
- 85
- 130
hahahaha, jamaa katisha kama ukomaLaini ya namna hiyo labda utaipata mbinguni. Yaani kila kitu bureeee!
Laini ya namna hiyo labda utaipata mbinguni. Yaani kila kitu bureeee!
Hii ni kwa wamiliki wa mitandao ya simu tu.Wadau natafuta line au chip ya namna hii. Sim card ambayo itaweza kufanya Roaming popote niendapo hata nje ya nchi huku nikiweza kupokea na kupiga simu bure bila kikomo, kupokea na kutuma SMS bure bila kikomo na kuweza kupata internet bure kabisa bila kikomo, kila kitu kiwe Unlimited. Nitatoa PESA nzuri. Karibuni.
Hii ni kwa wamiliki wa mitandao ya simu tu.
Code sasa uipe uwezo lain yako kufanya kazi hiyoPia hata wale wenye vipaji vyao katika fani hii inawahusu.
Code sasa uipe uwezo lain yako kufanya kazi hiyo
Mimi pia naihitaji hii kitu au hata mtu wa kuniungia Kifurushi cha gb na dakika nyingi kwa mwaka au miez 6 namlipa hera nzur maama nachoka na hiv vimb vya sasa..no yangu niya voda mweny kuweza aje bobo chap tuyajenge.. Ila visiwe Vifurushi vya kutumia app ya mtk cm yangu haisapoti mtk. 0756 695846Wadau natafuta line au chip ya namna hii. Sim card ambayo itaweza kufanya Roaming popote niendapo hata nje ya nchi huku nikiweza kupokea na kupiga simu bure bila kikomo, kupokea na kutuma SMS bure bila kikomo na kuweza kupata internet bure kabisa bila kikomo, kila kitu kiwe Unlimited. Nitatoa PESA nzuri. Karibuni.
Akitokea nitag ila kua makini lipa after lazi kukamlikaMimi pia naihitaji hii kitu au hata mtu wa kuniungia Kifurushi cha gb na dakika nyingi kwa mwaka au miez 6 namlipa hera nzur maama nachoka na hiv vimb vya sasa..no yangu niya voda mweny kuweza aje bobo chap tuyajenge.. Ila visiwe Vifurushi vya kutumia app ya mtk cm yangu haisapoti mtk. 0756 695846
Kama. Kawa mkuu no kulipa kabla. Ya kazi hutaki unajikataa.Akitokea nitag ila kua makini lipa after lazi kukamlika
Wewe fikra zako zimeishia hapo ila hiyo kitu inawezekana kabisa japo ni kama kuwaibia wenye makampuni ya mawasiliano.Laini ya namna hiyo labda utaipata mbinguni. Yaani kila kitu bureeee!
Tumia satellite phoneMimi pia naihitaji hii kitu au hata mtu wa kuniungia Kifurushi cha gb na dakika nyingi kwa mwaka au miez 6 namlipa hera nzur maama nachoka na hiv vimb vya sasa..no yangu niya voda mweny kuweza aje bobo chap tuyajenge.. Ila visiwe Vifurushi vya kutumia app ya mtk cm yangu haisapoti mtk. 0756 695846