zeromagic
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 186
- 67
Kuna watu wengi wamekua wakiulizia jinsi ya kupata free internet kwa njia ya vpn commonly tunneling, nami ningependa kutoa mchangu wangu kuhusiana na hii haina ya internet.
Ni kweli unaweza pata free internet kwa njia ya vpn but sio totally free kama wengine wanavyohisi. makampuni mengi ya vpn yanakutaka kulipia server zao, moja ya kampuni tg wanatoza dola 4.25, kama shilingi elfu 10 kwa mwez but kwa vile watu wengi bado hawana ujuzi wa kulipia huduma hii online, huduma hii hutolewa na reseller ambao ili kupata faida wengi wao wanacharge kwanzia elf 15.
Dhumuni la vpn sio kutoa free internet, but ni kufanya mambo yako ya internet yawe ya siri pamoja na kuepuka hacker, hvyo matumiz ya mtu mabaya ya vpn yanaweza kukuinguza mkenge kwan wao hawatoshitakiwa bali mtumiaji ndio atashitakiwa endapo atayatumia vibaya,
hii inayoitwa free internet kwa kulipia elf15 kutoka kwa reseller ebu tuitofautishe na vifurushi vya chuo vya kawaida. elfu15 ndani ya siku 30 ni kama 250 kwa siku, mtu unaweza kuona ni ndogo lakini kiukweli hii ni gharama kubwa ukilinganisha na vifurushi vya uni kwa sababu zifuatazo:-
>>reliability, mara nyingi settings zake zinafungwa hvyo unaweza kulipia hyo elfu 15 na baada ya siku mbili wakafunga configuration ukapata hasara
>>stability, hazipo stable, zinadisconnect mara kwa mara. unatakiwa uwe karibu na pc mda wote kama unadownload file kubwa ili ikijidisconnect ureconnect mwenyewe manually vinginevyo utakuta imedisconnect na ulichokua ukidownload kimestop. wale wezangu wa kuacha vitu vinajidownload na kwenda kulala ili asubuh wakute mambo fresh hapa watapata changamoto.
>>speed, mara nyingi hua inaspeed ndogo ukilinganisha na mtu ambaye hatumii vpn. speed yake inategemea na server uliyopo. wengi wanaexperience very poor speed na wengine at least speed inaongezeka kidogo but sio nzur sana
>>limit devices. ios ussers hawana app nyingi za vpn zinofanya tunneling kupata free internet. android users app za vpn zipo slow kupitiliza mfano slowdns na nyingine ni complicated kwenye kuziconfigure. watu wengi wanatumia kwenye pc
>>against law...... cyber crime......
>>kwann tuopt hii internet. uni offer kwa airtel wanaprovide 1.2gb kwa sh 500 ambayo ni stable, good speed na no limitation ya vifaa. ttcl wanatoa 800mb na 10gb kwa usiku 1500 (hii offer ipo kwenye nakampuni karibia yote ya simu) kama unadownload mafile makubwa hii ni cheap kuliko elfu 15 kwa mwezi ambayo sio rahis kuitumia kikamilifu kila siku, ina speed ndogo, inakatakata, lazima uwe na program hvyo inalimit device, unaweza kukamatwa .......
***ni mtazamo wangu tu***