Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kufanya mambo fulani ambayo yananiwezesha kumpatia kila member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia kublockiwa , no blocking is possible for what i give you. bila ya kujali ni wa zamani au wa sasa. nachukua nafasi hii kuwaambia kila anayetaka unlimited internet ani PM.
Internet hii unaweza kuitumia kwa kudownload kwa speed kubwa kulikoni.......
angalia screen shot hapa chini. ukitaka download kikawaida ukitaka download kwa torrent,........
View attachment 76803 with 2 modems View attachment 76804
mkuu mbona hutokezei kujibu maswali?kwanza mm natumia universal modem hsdpa,,na nimeona unarecomend kwa wakongwe watumie mobile partiner je mi itakuwa je?
pili nimesoma nikaona wanasema voucher unaweza kuitumia baada ya miezi mitatu,,bila shaka hiyo ni offer au unasema je mkuu?
Bwana Page, initial cost ni pesa ngapi? na tariffs zinakwendaje. 8MBps will do me just fine.
Mkuu Chief kwa sisi tunao tumia sim kuna uwezekano wa kupata hiyo huduma.mkuu mobile patner ni dashboard ya modem yoyote ya huawei iwe ni universal au voda au tigo au safaricom kenya iwe bsnl india iwe smart ufilipino au kokote unakokujua wewe duniani so usijali hilo
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kufanya mambo fulani ambayo yananiwezesha kumpatia kila member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia kublockiwa , no blocking is possible for what i give you. bila ya kujali ni wa zamani au wa sasa. nachukua nafasi hii kuwaambia kila anayetaka unlimited internet ani PM.
Internet hii unaweza kuitumia kwa kudownload kwa speed kubwa kulikoni.......
angalia screen shot hapa chini. ukitaka download kikawaida ukitaka download kwa torrent,........
View attachment 76803 with 2 modems View attachment 76804
Mkuu Chief kwa sisi tunao tumia sim kuna uwezekano wa kupata hiyo huduma.
Sielewi hizi mbps ndo nini.. Nieleweshe kwa MB ..i mean 1 MB ni tsh ngapi??
Umeona enhe.........umebana mwisho umeachia but sijashawishika bado kunatishwa na super GURU
Chief Mkwawa,
"Mfano vodacom saa 4 usiku hadi 12 asubuhi kwa sh 200", Inafanya kazi kweli hii? I mean speed+bundles? Niwekee screenshot ya mzigo uliokuwa ukiushusha kwa kutumia system hii.