free internet 1month 5000/=

Unajua haya makampuni ya simu yanatuibia sana pesa zetu... So si vibaya ukaweka ujuzi wa kupata hayo makitu kufidia pesa tukizoibiwa na tunazoibiwa na hayo makampuni ya simu
 
Atakaefanikisha anijuze nimupiem mkuu
 
Mbona umepunguza mpaka imefika 5000 aseee...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…