wakuu kama kuna mtu anafahamu free homepage (url) ambazo zinakubali tanzania naombeni mnisaidia,mimi ninaifahamu M.twitter.com pekee ....
kama kuna mtu anayo nyingine tofauti na hiyo naomba unisaidie .....!!!!!
Juzi ulikuwa unaulizia Server nzuri ya PD Proxy sasa vi-proxy vya nn?
Kama unazitaka ni PM ninazo kuanzia gari la kula n*uma mpaka lile la bongo starsearch