Tuondoeni tofauti zetu Na Kwa pamoja tuandamane P DIDDY aachiwe awe huru.
Huyu ni kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu. Ni wajibu wetu kumtetea kijana wetu.
Siyo kuandamana tu bali tumkumbuke Katika sala zetu tufunge na kuomba hasa wiki hii tunapoelekea sikukuu ya Ashura kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali alivyouwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu na ubinadamu dhidi ya dhulma na uonevu.
Free Diddy Now. Diddy is innocent.
Diddy is our son.
They don't like a Powerful black man.
#UgaliTheBestFoodForHumanity
#FreeDiddyNow
adriz[/USER
[/QUOTE]
Umetumia fasihi. Wenye akili tu ndoo watakaoelewa unachomaanisha. Hongera kwa kukwepa mkono wa polisi