Free channels on DSTV decoders

Wazee naomba nifahamishe namna ya kusetup decoder yangu ili nipate TBC. Niko west africa kwa sasa na nikitaka kuweka (tuning) TBC naambiwa "not subscribed for your country".
huko mkuu tbc huwezi kuipata kwenye dstv ingawa pale kwenye channel list ipo ni sawa na sisi tunavyo ziona za ghana,nigeria na nchi zingine kwenye channel list lakini hazifunguki,cha msingi tafuta dish kubwa la cb na receivr ya free channel then itafute au nenda ofisi za multichoice huko uliko waombe wakufungulie hiyo tbc ingawa sina uhakika kama hillo linawezekana
 
Jaman mi mbona nikifikka ktk DSD upgrade niiiweka oky inaenda ktk automatic upgrade hapo inakwama msaada pls
mi nimejaribu bila ku upgrade..nimepata chaneel mbila za nyongeza...nadhani ni za huko huko SA maana hata majina yake yamekaa kushoto kushoto!!
 
I have followed these steps..surprising after I have completed The "Bouquet Options" menu dont even appear and so i cant select "Public PAS7/10"...tell me what might went wrong


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…