Free business idea that can work for you !!!

Wakuu
Mbona mazungumzo ni mazuri vipi tena?
Ila niamini Senior manager Afrika haswa Bongo ngumu.
 
Anyway, nashangaa kabla cjapitia aliyosema Senior Manager nimeanza na posts za wachangia mada!!! wacha nikalalale kwanza ndipo nije kula ma-biz ideas ya SM, may be nitatoka!
 
kaka atleast wewe uko more open minded....na umeelewa mada hapo juu. Ni kweli kwa africa ni ngumu lakini biashara gani rahisi umayoijua wewe?? hamna kabsa......hata kama africa ni ngumu....hii biashara waweza kuitanua mpaka europe,usa,asia & australia wakati ukiwa huku bongo !!!! You have the whole world in your hands...via tha internet. Sio lazima biashara yako i base in Africa !!! People just dont get the concept......THIS IS A GLOBAL BUSINESS !! Ni sawa na uwe na frame za duka zilizotapakaa dunia nzima....Do you see the income potential you can get??.....mbona kuna marketers kibao wako europe wana biashara zao hapa bongo..kupitia mfumo huu.....take some time to understand it.
 
still looking for some recruiters? Wow! Convice..who knows u myt get some lazy brains to catch up with ua ideas...gudluck with that...cherio
 
Anyway, nashangaa kabla cjapitia aliyosema Senior Manager nimeanza na posts za wachangia mada!!! wacha nikalalale kwanza ndipo nije kula ma-biz ideas ya SM, may be nitatoka!

Soma tu mkuu but ukitoka na mazingira yetu haya ya kibongo niite MBWA
 
Polee sanaa.....bahat mbaya sina mda na ku argue na mtu ambaye mda wote uko off point....aya bwana ngoja nifate ushauri wako hahahahahahaha !!!!
ivi wewe ni mzima kweli!nilikuuliza swali hutaka kunijibu kazi yako kukejeri watu wakati biashara yako
au mpaka mtu akutukane ndio uwanze kumludishia matusi?ukiulizwa kuhusu biashara yako hujibu ivi ukoje?
He au na wewe kichwa ni nazi?au unaubongo wa magufuri kutaka wizara ziongezwe?au unaubongo wa makamba kusema kwamba ameenda kuwaandalia makao?
Sikuelewi aise!
 
Soma tu mkuu but ukitoka na mazingira yetu haya ya kibongo niite MBWA

Sio vyema kujishusha kiasi hicho MUNGU hapendi wewe ni wa pekee aliyekuumba kwa mfano wake.....ina maana mimi na my team tuliofanikiwa kwenye huu mfumo tunahaki ya kukuita MBWA ??? Hahahahahahahahahahahaha Dah.....haya bwana.
 
ivi wewe ni mzima kweli!nilikuuliza swali hutaka kunijibu kazi yako kukejeri watu wakati biashara yako
au mpaka mtu akutukane ndio uwanze kumludishia matusi?ukiulizwa kuhusu biashara yako hujibu ivi ukoje?
He au na wewe kichwa ni nazi?au unaubongo wa magufuri kutaka wizara ziongezwe?au unaubongo wa makamba kusema kwamba ameenda kuwaandalia makao?
Sikuelewi aise!

Hahahahahahahaha kwangu yote kheri cause sikosi mkate wangu wa kila siku......ni kweli kichwani mi sio wa kawaida...ndo maana hatufanani kifikra na upeo !!!!
 
Network business will never work in Africa period! How do you expect someone to buy toothpaste for more than Tsh 3000 yet he knows he can get it for less than Tsh 1000! Say whatever you want but I have always believed the aim of such topics are just to sell books and in the end the guy makes even more money. Hata hapa kwetu kuna mtu alikuwa na such kind of thing I do not know he sold how many dvds and copies of book. Lets get serious ideas which can work for Africa accordning to our economics dynamics not theories from western world!
 
bahati mbaya mi mbishi !!!!
 
Thanx sam...you are a genious...at least we have something in common over this, hivyo vi idea africq havifanyi kazi; namueleza anaanza kunitajia kina kiyosaki
 
sawa......kama unaona haikufai si uache....kwan umelazimishwa?? We kula time zako hakulazimishi mtu !!! We maisha yako yananihusu nini mimi ?? acha balaa kijana !!!
 
hii ni forum ya kutoa maoni huwezi kunilazimisha nisitoe maoni yangu...
Utakua mtu wa ajabu sana kama hujui namna ya kujibu hoja kwa hoja....
 
Back
Top Bottom