Free and Independent Zanzibar

Symbiosis ndo suluhu baanaaaa...........................Kama tunaangalia TV na wewe huoni kwa sababu mtu yuko mbele yako unatakiwa kuhama hapo au umtoe anayekuzinga.................keleleeeeeee tu mpaka tutakuwa viziwi bure sasa wewe huoni unapiga kelele ili wote tusogee.............. tukishakuwa viziwi kwa kelele zako (pamoja na wewe) utakuwa umpoteza vyote....hukuona na yet huwezi kusimulawa coz ni kiziwi....

Tafakari....chukua hatua
 
swali la kizushi:

kwa nini sherehe za muungano hazifanyiki zanzibar?
 



Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar, Vyuo vya Kati pamoja na Skuli za Sekondari wakiwa katika mkutano wa kitaifa uliofanyika Hoteli ya Rumaisa, mjini Zanzibar. Mkutano huo ulioanza saa tatu ya asubuhi hadi saa saba mchana, ulitoa azimio la haja ya kuirudisha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Pia wanafunzi hao kike kwa kiume walijadili haja ya kuwa na mahitaji ya mabadiliko katika nchi yao ili ijifunguwe kielimu, kiuchumi na kimaendeleo kutokana na udhaifu wa Muungano. Mkataba wa USHIRIKIANO mwema wa kitaalamu wa RIDHAA baina ya WANANCHI wa nchi mbili husika na/au zaidi - utafuatia BAADA ya kuwa na JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR - KWANZA itakayoyarudisha mamlaka na uwezo wote wa kuendesha Serikali kwa wananchi wa Zanzibar kama Katiba ya 1984, Toleo la 2010 inavyoeleza kupitia ibara yake ya tisa, na pia kupitia Jamhuri ya Watu wa Zanzibar - kuipa Zanzibar uwezo wa kufunga mikataba ya kitaifa na kimataifa yenye maslahi ya maendeleo kwa Wazanzibari WOTE. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar KWANZA !



Mzee Hassan Nassor Moyo akiwa na Vijana wa Umoja wa Kitaifa - Zanzibar pamoja na Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar - wakipiga picha ya pamoja baada ya kikao cha masaa matatu kujadili mahitaji ya mabadiliko katika nchi yao ili ijifunguwe kielimu, kiuchumi na kimaendeleo kutokana na udhaifu wa Muungano. Mkataba wa USHIRIKIANO mwema wa kitaalamu wa RIDHAA baina ya WANANCHI ...wa nchi mbili husika na/au zaidi - utafuatia BAADA ya kuwa na JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR - KWANZA itakayoyarudisha mamlaka na uwezo wote wa kuendesha Serikali kwa wananchi wa Zanzibar kama Katiba ya 1984, Toleo la 2010 inavyoeleza kupitia ibara yake ya tisa, na pia kupitia Jamhuri ya Watu wa Zanzibar - kuipa Zanzibar uwezo wa kufunga mikataba ya kitaifa na kimataifa yenye maslahi ya maendeleo kwa Wazanzibari WOTE. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar KWANZA








 



hawa hawataki mungano!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Bendera ya Dola ya Zanzibar tukufu!ni ya tatu kutoka kulia!






 



Hati za Muungano baina ya Nchi mbili: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Tanganyika haipo na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar imebadilishwa jina na kuitwa "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)". Sheria ipi, ya mwaka gani, chini ya Raisi yupi, kwa sababu gani, jina la NCHI lilifutwa na badala yake likawekwa jina la SERIKALI?





mpaka wakafanikiwa kupata uhuru wao kutoka kwa muingereza. hii picha ilipigwa usiku wa dec mwaka 1963. akionekana kwenye picha kutoka kushoto ni Qadhi mkuu wa znz Al Habib Omar Bin Sumeyt pamoja na waziri mkuu sheikh Mohamed Shamte na sultan Jamshid
-



 




Kundi la watu kumi walioanzisha mchakato wa kudai hati ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar limeapa kuendelea na juhudi katika mahakama ya Kimataifa kuupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kundi hilo linaloongozwa na Rashid Salum Addiy, lilianzaa harakati mwaka 2005 katika mahakama kuu ya Zanzibar na mwanasheria mkuu wa Zanzibar za kudai mkataba wa muungano wenye saini mbili za Nyerere na Karume.

Dai katika Mahakama kuu lilitupwa kwa kile Mahakama ilipoona kuwa walalamikaji kushindwa kujenga hoja yao katika misingi ya kisheria. Mwanasheria mkuu naye alijibu kuwa ofisi yake haikuwa na nakala ya makubaliano.



 
maakratari ya huo mkataba mbona hakuna sign yoyote kutoka kwa viongoxzi wetu wawili ? Huo ni usanii tu hakuna muuungano kuna mgandamano tu.
 

Zanzibar willnever be freer but more of a slave. You have masters from the middle East and Persia in one hand and on another you had Tanganyika that can absord some pains from your slavery.

Now your moving in into total slavery.And the question would be what master to submit to.Persia(Iran) or Oman or even the poor Yemen.I am worried if you really know the difference between FREEDOM and CHOOSING MASTERS.You are pushing us more to think freedom can be relative.Thats is the difference between the mainlanders and the Zanzibaris.Re- brain wash yourself before you can think of being a great Thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…