Free alcatel modem unlock code request

Ingia hapa wanaunlock kwa USD 6 au unaweza ingia Ebay unaweza kupata ya bei chini ya hapo

Kuna mtu anatoa free service toa gharama zako hapa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaotoa free Service. Ajaribu kutafuta. Soma comment ya #6 nimemwambia gharama ni Tsh. 5,000 tu. Ukiingia kwenye website niliyooitoa (si yangu) ni USD 6. Ukiibadilisha na pesa ya kibongo. Tuchukulia USD 1 = 2200, je, USD 6=Tsh?
Hapo utapata fedha za kitanzania 13,200. Kama unaweza, msaidie wewe. Ila gharama yangu ni 5,000 tu.

Hatujakataa mtoa huduma yupo mwingine kwa kuwa uzi ameandaa mwingine relax asaidie watu , offer ikiisha watakutafuta kwa gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom