Kuteleza sio kuanguka, mzee sumaye amejua jinsi ccm inavyo wanyanyasa watanzania na sasa ameamua kujiunga na kikosi cha ukombozii
mmmhh mbonaaa kama nakujuaaa aseee
Sumaye Anapiga Za Uso Tu.. Hana Mambo ya KuchengaChenga.
Sumaye ni kisanga! Watakoma kumtaja taja