TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Kwanini vichaa wengi sana shytwn,kahama yani mpka unajiuliza ....
 
Mueleze huyo. Wasukuma tunafahamiana sana. Kwenye misiba mtu unaishi matanda ila unakwenda msibani Mwasele. Ndo maana hata wageni mikoani kwetu wanatoboa kirahisi tu. Hatubagui. Ila kule Moshi mchaga atanunua kwenye duka la mchaga mwenzake kuliko kununua kwenye duka la msukuma lililo karibu yake.
 
Mzee minzi namfahamu kumbe ilikuwa hvyo tena? Da hatari sana
 
RIP big man.

One thing for sure is you've loudly left a lesson, one can be rich without bieng famous!

To the young thirsty bloods out there, aim for the money Not the fame!!!
Inasikitisha Sana...Mapema mno..
 
Kupiga=Kuiba..Kosa liko wapi?
 
Asante kwa apprΓ©ciations
Nakala kwa anti-chagas
instanbul
MoseKing
Accumen Mo
 
luambo makiadi soma hii nyie ni matapeli hamna utu ...Damu yenu chafu ya kufanya umafia kwa tamaa za pesa.
 
Ulitaka atume nini?
Fanyani KAZI hakuna pesa ya bure
Kwani wapi nilitaka maendeleo kutoka kwa mwanamke πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†...Huo mjinga mvivu ndio kaletewa maendeleo na mwanamke.

Hakuna billionaire mwanamke wa huko kwenu ,nionyeshe pale kweny list ya mabillionea ....Vijana wavivu ndio mnategemea wanawake sio kwetu sisi ushamba wenu na utapeli mbaki nao huko.
 
Yule aliandaliwa na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…