Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Aliyekua Waziri Mkuu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Fedrick Sumaye ajiuzulu uujumbe wa bodi CRDB.
Sumaye,amejiuzulu ujumbe wa bodi ya Benki ya CRDB ili atekeleze zaidi majukumu yake ya kisiasa.
"Nina shughuli nyingi za kisiasa ambazo zitaninyima nafasi ya kuhudhuria vikao vya bodi.Sipendi pia kuona CRDB ikihusishwa na msimamo wangu kisiasa. Hii ni taasisi huru ambayo ina wanahisa wengi ambao sitapenda kuona maslahi yao yakiingiliwa kutokana na siasa," amesema Sumaye.