Waziri mkuu mstaafu amempa support big up ya hoja binafsi ya katiba mpya!pia kamuunga mkono waziri sitta kwa maoni yake juu ya dowans kwa kuwa serikali haikujadili pamoja katika baraza la mawaziri!source TBC1
Jamani hilo lipo wazi asiyekubali katiba mpya ni mchawi, Mateso yote haya afu mtu awe against na hitaji la kitaifa!!!.......... wengine watafuata kuunga mkono na kutoa pongezi Kemkem!!!