Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,056 Reaction score 45,215 Aug 1, 2026 #1 Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,774 Reaction score 10,318 Aug 1, 2026 #2 Nashauri Simba tuhamie ligi ya Zanzibar.
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,907 Reaction score 4,669 Aug 2, 2026 #3 Mwakani tena! YANGA BINGWA!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,461 Reaction score 197,192 Aug 3, 2026 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,506 Reaction score 185,596 Aug 3, 2026 #5 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Yanga bingwa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,443 Reaction score 138,238 Aug 4, 2026 #6 Beira Boy said: Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY Click to expand... Mwenye CV yake tafadhali.
Beira Boy said: Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY Click to expand... Mwenye CV yake tafadhali.
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,056 Reaction score 45,215 Aug 4, 2026 Thread starter #7 Tate Mkuu said: Mwenye CV yake tafadhali. Click to expand... Nasikia team aliyotoka imeshuka daraja
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,443 Reaction score 138,238 Aug 4, 2026 #8 Beira Boy said: Nasikia team aliyotoka imeshuka daraja Click to expand... Team gani hiyo? Hata Vicent Company aliishusha daraja Bunley, ila aliteuliwa kuwa kocha wa Bayern Munich na bado ameendelea kuipa mataji lukuki.
Beira Boy said: Nasikia team aliyotoka imeshuka daraja Click to expand... Team gani hiyo? Hata Vicent Company aliishusha daraja Bunley, ila aliteuliwa kuwa kocha wa Bayern Munich na bado ameendelea kuipa mataji lukuki.