Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
Kwa mujimu wa ukurasa wake wa Instagram Fred Mpendazoe ametangaza kurudisha majeshi huko Kishapu.Hivyo atapeperusha bendera ya CHADEMA chini ya UKAWA.
Mpendazoe shujaa wa ukweli sio akina Sita,anarudi Bungeni mwaka huu
Wewe wasemaKwani unamchagua wewe mpaka useme anarudi?
Huyu mzee atahangaika sana, wana-kishapu wahamwamini tena kwa kitendo chake cha kuwasaliti
Huyu mzee atahangaika sana, wana-kishapu wahamwamini tena kwa kitendo chake cha kuwasaliti
Siasa za Ukawa ngojeni kwanza. Kuna mambo muhimu yanaendelea chama tawalaKwa mujimu wa ukurasa wake wa Instagram Fred Mpendazoe ametangaza kurudisha majeshi huko Kishapu.Hivyo atapeperusha bendera ya CHADEMA chini ya UKAWA.
Kuwaacha wana KISHAPU bila muwakilishi na kukimbilia CCJ, kisha CHADEMA ni usaliti wa hali ya juu!Usaliti gani alioufanya Fred?