frat wakaidi agizo la kamati ya uchaguzi ya tff

frat wakaidi agizo la kamati ya uchaguzi ya tff

ikizu

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
431
Reaction score
56
chama cha waamuzi wa mpira wa miguu inchini kimekaidi agizo la kamati ya uchaguzi ya tff ya kusimamisha uchaguzi huo iliyotolewa na mwenyekiti wake Deo lyatto.
hivyo chama hicho kimefanya uchaguzi na kumchagua bw Abudukadili kuwa mwenyekiti na ikizingatiwa alishaondolewa na kamati ya tff kwa kutokuwa na sifa ya elimu ya kidato cha nne.
jamani wjf hawa watu wanapeleka wapi mpira wetu?
Tenga ndo kweli unamaanisha unataka kugombea tena kwa hali kama hii.
 
pole sana Tenga kwa mambo yanayoendelea kwenye taasisi yako, yawezekana huyajui nakuhurumia sana
 
Back
Top Bottom