NAONGEA NA WEWE;
Uwe wa kike au wakiume........................
Mpaka lini tutaendelea kusema au kusikia maneno ambayo hayana ukweli hapa kidogo..............
Mim leo ntawaambia moja kati ya maneno ambayo,sitasema tena i my life tym,,,kwasabu ni UONGO na KUFURU....
1/ I WAS BORN FOR YOU..............
Hisia zisitufikishe huku jamani,,,huu ni uongo kwa mtamka na mtamkiwa........inatosha kwangu leo....
reality is i was born to meet the purpose of GOD and nt othawise.............tena majukumu mengi ya kijamii tulokuwa nayo,,,siwezi kuwa nimezaliwa kwa ajili ya mtu labda mtu awesehemu tu ya mambo lukuki ya sababu ya kuzaliwa kwangu ...........
hivi umehawaambia wangapi maneno hayo hayo......umeamini wangapi kwa kusikia maneno kama hayo..........??
niambie na wewe tafadhari..........