frolian mwebesa Jr
Member
- Aug 27, 2014
- 26
- 0
Jaman watu wa sengerema mimi nilitaka kujua hivi mngombea ubunge kwa tiketi ya ccm mwaka 2010 yuko wapi make tumemkumbuka saana kwa sera zake nzuri!!!! Mh FRANCISCO KIMASA SHEJABU huu ni wakati wake teena tunamtaka wanasengerema!!!! Au mnasemajeeeeh!! Mimi nilikuwa naona lakin kuwa avue gamba avae gwanda au mnasemaje wanasengerema???