Frame za miwani bomba za macho zinauzwa ujumla na rejareja- from france

niko dar, namba ulotoa haipatikani. halafu, unaposema utanitea itakuwaje? si kawaida huwa tunajaribu kwanza? maana nataka ya kwangu!
 
niko dar, namba ulotoa haipatikani. halafu, unaposema utanitea itakuwaje? si kawaida huwa tunajaribu kwanza? maana nataka ya kwangu!
piga namba hizi 0713055161 uliza mtu anaitwa juve(ubungo) na 0715565607 dada lucy(ccbrt na kinondoni). na 07652053449 dada rena(mwananyamala)

kama kunatatizo nijuze tafadhali kwenye email hii honestaugustine@yahoo.com
 
Umachinga wa style hiyo ni mzuri kwani ni ubunifu mkubwa. Ila mi nashangazwa na kutokuwa na ofisi kwa ajili ya shughuli/biashara yako lazima kuna mambo unayoyakwepa kama kodi ya jengo,TIN,pengine lazima uwe umejiregister na jamaa wa Optics ambao lazima wana vigezo vya kumruhusu non proffessional kufanya shughuli hizo. Pia unasema mtu akiwa na prescription yake unaweza kumtengenezea miwani akipata nayo matatizo,na kisha isimfae na pengine hatakuwa mmoja mwenye problem kama hiyo, ataona/wataona anapoteza/wanapoteza muda kukutafuta atakuacha/watakuacha tu ufaidike na vijisenti vyake/vyao na mwisho wa siku atarudi/watarudi kwa walewale unaowaita wanauza expensive!
 
kwasasa tunawadirect wateja wetu kwenda kuwekewa lens CCBRT wahiyo usiwe na wasi kuhusu ubora wa lens ambayo ndiyo inayomletea mtu matatizo, kwenye swala la frame ni urembo tu na muonekano mzuri tu wa miwani yako ni kama jinsi tank la kuwekea mafuta linavyotengenezwa kwa disign tofauti ila mwisho wasiku mafuta ndiyo yanakuwa na matatizo na siyo tank kwahiyo unathibitishiwa ubora wa frame zetu waliyokwisha nunua wataandika hapa kukujuza. Kuhusu ukwepaji wa kodi si kweli maana tunalipia kodi pindi tunapoingiza mzigo wetu katika bandari ya dar nakwasasa kama tulivyowaambia tuko kwenye majaribio tunauza kwa ujumla na rejareja kwa style hii. na hii itadumu kwa miezi miwili tu kisha tunatoa report itakayotupeleka phase 2 ambayo itakuwa nikubwa na ya kiprofessional zaidi ambayo itakuwa ni hospital ya macho. ila sijajua gharama za kipindi hicho zitakuwaje kakaa. naomba kuwasilisha.
 
Mr Honest hujaniconvince bado... Kwamba hukwepi kodi hata ya ofisi yako? Labda kama huna ofisi... Na mambo ya TIN tuachilie mbali! Lakini unaposema una uhakika na ubora wa lens wa CCBRT wakati tatizo si ub0ra wa lens ,ila ukipimwa lazima kama si mara nyingi miwani hukuletea matatizo na tatizo si lens uliyotengenezewa na CCBRT ila ni mganga wa macho aliyekupima anakuwa answerable,umenielewa kidogo?
Yaani majina na mobile no. si tija! utapeli upo tu hata kwenye mitandao kama hii na mingine..Nakushauri na una hiari ya kukataa ama kukubali kwamba usitangaze biashara hiyo hadi utakapokuwa umeestablish ofisi ama uwe na majibu ya kutosha ya hoja ndogo kama hizi. Lakini hayo yote ni madogo cha kushangaza unasema huna hakika bei itakuwaje baada ya miezi miwili kutoka sasa kana kwamba itakuwa juu sana kuliko ulivyonadi bei zako, na ni hasara kubwa kukosa kwa kipindi hiki!
La ziada naomba nijue ama utujulishe bloggers wa humu ndani juu ya profile yako hadi wewe kama Honest unafanya shughuli hizo za mambo ya OPTICS.
Wasalaam..........
 
nakubaliana na wewe kuwa tatizo la macho linawezekana kuwa ni kupimwa macho na maganga ambaye hafahamu kazi yeke vyema, na hana ujuzi wa kutosha. ila pia usikatae kuwa kunaubora wa lens za macho na hicho ndocho kingestahili kuwa cha kwanza kabisa maana kinagusa mapaka sehemu ambazo kutokana na ukosefu wa utaalamu wakupima ubora ambao tupo nao nchini inaweza kuwa tatizo. Tatu naamini CCBRT inajulikna sana kwenye maswala la macho ndiyo maana nikaonelea ni vyema wahusika kwenda pale kuliko hizi clinic za macho za mtaani ila haukatazwi kwenda kuweka lens yako katika maeneo hayo kama tu unawaamini. Kuhusu utapeli ningeomba kuwa wazi sina utapeli na watu tunaofanya nao kazi siyo matapeli na hawajawai kuwa na kashfa hiyo ni watu wenye kazi zao ukienda pale CCBRT utamkuta muhusika wa macho kabisa mwenye uzoefu huo kabisa. Sisi kazi yetu tunadili na kuleta vifaa vyote unavyovijua wewe vya macho. usikatishe tamaa watu wengine ambao wanahitaji kununua na ambao wameshanunua na kutoa asante nyingi sana kwetu. Hautaambiwa utume pesa ili tukuibie ni wewe na mguu wako na macho yako kwenda uona na ukiweza na kununua. Tuko hapa kwa kujenga na kusaidiana na wala siyo kubomoa na kudidimizana. Tunategemea mchango mkubwa toka kwako kwa kipindi hiki cha 2months wewe unajua jinsi uchumi unavyoenda (dolar is the determing factor brother)
Thanks
 
Jamani zimebaki siku 6 kwa mauzo ya frame za miwani hizi kwa bei iliyotajwa hapo juu kwahiyo fanya juu chini kuwai kama unahitaji. Ilikuwa tumepewa muda wa siku 61 au miezi miwili
 
Kwasasa bei mpya ni 36,000 tasilimu, haija panda sana imeongezeka kwa 1000 tu. Mnakaribishwa sana, na hii bei itakuwa ikibadilika mara kwa mara kulingana na hali halisi.
Asante
 
Moshizzle vp biashara yako??
Ulikuwa unaipeleka kienyeji kimtindo...kwa mtazamo wangu!
 
Moshizzle vp biashara yako??<BR>Ulikuwa unaipeleka kienyeji kimtindo...kwa&nbsp; mtazamo wangu!
 
Moshizzle vp biashara yako??<BR>Ulikuwa unaipeleka kienyeji kimtindo...kwa&nbsp; mtazamo wangu!
kivipi mkuu, biashara haiko kienyeji cha muhimu nikukidhi mahitaji ya wahitaji. usisite kuwasiliana namimi moja kwa moja kwenye email yangu hapo juu
 
WAKUU heri ya sikukuu ya eid natumaini mmeshiba vya kutosha. HAPA NAWALETEA MALI MPYA TENA YA FRAME ZA MIWANI UNAWEZA KWENDA KUJIONEA TENA. BEI NI ILEILE
ASANTENI
 
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na maduka yote ya tanzania, na pia tutakuelekeza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za kununua miwani. kwamaelezo zaidi tuwasiliane kwa email . nimeattach moja ya ya miwani nyingi
tulizo nazo.email: honestaugustine@yahoo.com au moshizzle81@hotmail.com . asanteni
namba ya simu ni ndiyo ya muhusika mkuu mwenye hizo email 0086-15229243915 kwa muda na frames zinapatikana CCBRT na TANGA MJINI 0715565607 MUULIZIE Dr LUCY
BEI NI Tsh.36,000View attachment 31689View attachment 31690View attachment 31689

asanteni

Mkuu naomba niulize, maana nimeona hii ni post ya zamani kidogo, bado unauza hizi frames za miwani? Nahitaji.
 
waungwa mabibi na mabwana napenda kuwafahamisha kuwa kwasasa tuna frame za aina nyingi za miwani za macho ambazo tunauza direct kama maagent wa kampuni. bei zetu ni sawa na bure ukifananisha na maduka yote ya tanzania, na pia tutakuelekeza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za kununua miwani. kwamaelezo zaidi tuwasiliane kwa email . nimeattach moja ya ya miwani nyingi
tulizo nazo.email: honestaugustine@yahoo.com au moshizzle81@hotmail.com . asanteni
namba ya simu ni ndiyo ya muhusika mkuu mwenye hizo email 0086-15229243915 kwa muda na frames zinapatikana CCBRT na TANGA MJINI 0715565607 MUULIZIE Dr LUCY
BEI NI Tsh.36,000View attachment 31689View attachment 31690View attachment 31689

asanteni
Nitumie namba yako nikupigie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom