Habari zenu wadau,
Straight to the point natafuta frame kwa ajili ya restaurant hapa Dar, hasa maeneo yenye watu wengi au watu wengi wanapokutanika.
Tafadhali naomba msaada wenu wadau nianze ujasiliamali maana monthly salary haifui dafu kwa maisha yangu.
Natanguliza shukrani.