Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake:
*Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja
NB: Muuzaji ni mmiliki mwenyewe sio dalali. Ukihitaji njoo PM utaelekezwa uje uione
*Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja
- Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia (kuna nguo za kike, Kiume, na viatu vya kike)
- Ipo eneo lililochangamka (Segerea stand)
NB: Muuzaji ni mmiliki mwenyewe sio dalali. Ukihitaji njoo PM utaelekezwa uje uione