FRAME YA BIASHARA INAUZWA 12. 5MILL.

FRAME YA BIASHARA INAUZWA 12. 5MILL.

nyak's

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
70
Reaction score
54
Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake:

*Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja
  • Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia (kuna nguo za kike, Kiume, na viatu vya kike)
  • Ipo eneo lililochangamka (Segerea stand)
*Nje ya fremu kuna eneo kubwa la kuweka mzigo/bidhaa za kutosha.

NB: Muuzaji ni mmiliki mwenyewe sio dalali. Ukihitaji njoo PM utaelekezwa uje uione
 
Unauza au unakodisha? Ukiniuzia nakuwa mmiliki halali?
 
Back
Top Bottom