N nyak's Member Joined Oct 4, 2014 Posts 70 Reaction score 54 Sep 10, 2021 #1 Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake: *Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia (kuna nguo za kike, Kiume, na viatu vya kike) Ipo eneo lililochangamka (Segerea stand) *Nje ya fremu kuna eneo kubwa la kuweka mzigo/bidhaa za kutosha. NB: Muuzaji ni mmiliki mwenyewe sio dalali. Ukihitaji njoo PM utaelekezwa uje uione
Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake: *Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia (kuna nguo za kike, Kiume, na viatu vya kike) Ipo eneo lililochangamka (Segerea stand) *Nje ya fremu kuna eneo kubwa la kuweka mzigo/bidhaa za kutosha. NB: Muuzaji ni mmiliki mwenyewe sio dalali. Ukihitaji njoo PM utaelekezwa uje uione
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,539 Reaction score 11,810 Sep 12, 2021 #2 Unauza au unakodisha? Ukiniuzia nakuwa mmiliki halali?