Fourth year ndani ya JF

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Tar 11 July 2011, ndo ilikuwa tarehe ya kujiunga kwangu jf, nimeitumia jf espcially JF Social forums (lounge) kwa manufaa ambayo siwezi kuyaelezea, nimeelimika, nimefurahi, nimepata marafiki na soon huenda nikapata na mke (romantic eyes) hello to mama mkwe kantwe.
let home of great thinkers live longer

FB.
 

hongera.......lakini mbona miaka minne haijafika bado........
 
embu ndoja nikokotoe nami nina miaka ngapi humu
 
11 July 2011 - 11 July 2012 = 1 yr

11 July 2012 - 11 July 2013 = 2yrs

11 July 2013 - 11 July 2014 = 3yrs which is today

Haya mwenzetu hiyo four (4) yrs unaipatapataje??
 
11 July 2011 - 11 July 2012 = 1 yr

11 July 2012 - 11 July 2013 = 2yrs

11 July 2013 - 11 July 2014 = 3yrs which is today

Haya mwenzetu hiyo four (4) yrs unaipatapataje??

hahaha kajichanganya lol
 

Utapata mke usijali shem.
 
11 July 2011 - 11 July 2012 = 1 yr

11 July 2012 - 11 July 2013 = 2yrs

11 July 2013 - 11 July 2014 = 3yrs which is today

Haya mwenzetu hiyo four (4) yrs unaipatapataje??

no yaani kuanzia leo naanza mwaka wa nne kuelekea 2015, ooooorait DA?
 
hongera sana kwa hiyo miaka ila umeshaweka alama hapo kushoto kwa avatar yako?


bestito Ntuzu njoo huku uone :music: katajwa mwisho wa sentensi hapo angalia vizuri ila mm simo:attention:
 
Last edited by a moderator:
6/12/2010 - 6/12/2011 mwaka 1
6/12/2011 - 6/12/2012 mwaka 2
6/12/2012 - 6/12/2013 mwaka 3
6/12/2013 - 6/12/2014 mwaka 4

nimekusaidia kukukokotoa umeona hapo juu mkuu ondoa ile miaka ya :ban: na ile miaka ambayo ulikuwa:hail:
embu ndoja nikokotoe nami nina miaka ngapi humu
 
6/12/2010 - 6/12/2011 mwaka 1
6/12/2011 - 6/12/2012 mwaka 2
6/12/2012 - 6/12/2013 mwaka 3
6/12/2013 - 6/12/2014 mwaka 4

nimekusaidia kukukokotoa umeona hapo juu mkuu ondoa ile miaka ya :ban: na ile miaka ambayo ulikuwa:hail:
kumbe nimebakiza miezi kadha wa kadhaa nifunge four. daaah hongera yangu mie
 
hongera sana kwa hiyo miaka ila umeshaweka alama hapo kushoto kwa avatar yako?


bestito Ntuzu njoo huku uone :music: katajwa mwisho wa sentensi hapo angalia vizuri ila mm simo:attention:



Tunasubiri Mahali!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…